Stars yaanza mazoezi uwanja wa Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Oct 2019
Stars yaanza mazoezi uwanja wa Taifa

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', kimeanza mazoezi kwenye Uwanja wa Taifa kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Rwanda na mchezo wa marudiano dhidi ya Sudan michuano ya CHAN

Stars itacheza na Rwanda Oktoba 14 nchini Rwanda ukiwa ni mchezo wa kirafiki ambao uko kwenye kalenda ya FIFA

Baadae timu itaelekea nchini Uganda ambako itacheza na Sudan, mchezo wa marudiano kusaka tiketi ya michuano ya CHAN Stars ikiwa nyuma kwa bao 1-0 baada ya kupoteza mchezo wa kwanza uliopigwa jijini Dar es salaam

Metacha Mnata, Kelvin Yondani (majeruhi), Adulaziz Makame na Feisal Salum ni wachezaji wa Yanga waliojumuishwa kwenye kikosi hicho cha Kaimu Kocha Mkuu Etienne Ndayirage

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
6h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
11h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’