Makundi Ligi ya Mabingwa, mtoano kombe la Shirikisho ni leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Oct 2019
Makundi Ligi ya Mabingwa, mtoano kombe la Shirikisho ni leo

Droo ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa pamoja na hatua ya mtoano kombe la Shirikisho, inafanyika leo jijini Cairo, Misri

Baada ya kukamilika kwa raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa, timu 15 zilifuzu makundi huku mchezo kati ya Zamalek dhidi ya Generation Foot ukiamuliwa kuchezwa upya

Generation Foot ya Senegal iligoma kucheza mechi ya marudiano nchini Misri baada ya Zamalek kubadili uwanja ambao mchezo huo ulipangwa kuchezwa awali wakati yakibaki masaa 24 kabla ya mchezo kupigwa

Generation Foot ilishinda mabao 2-1 kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa Senegal. Timu hizo zitarudiana Oktoba 24 nchini Misri

Mpangilio wa timu kuelekea droo:

Pot 1: Esperance (Tunisia), TP Mazembe (DRC), Wydad (Morocco), Al Ahly (Egypt)

Pot 2: Sundowns (SA), Etoile du Sahel (Tunisia), Zamalek (Egypt) / Generation Foot (Senegal), USM Alger (Algeria)

Pot 3: Raja Casablanca (Morocco), Zesco (Zambia), AS Vita (DR Congo), Al Hilal (Sudan)

Pot 4: Primeiro (Angola), FC Platinum (Zim), Petro Luanda (Angola), JS Kabylie (Algeria)

Wakati droo hiyo ikikamilishwa baadae, droo nyingine itahusu michuano ya kombe la Shirikisho ambayo Yanga itashiriki

Droo hiyo ni ya hatua ya mtoano kusaka nafasi ya kucheza makundi

Yanga ni miongoni mwa timu 32 ambazo zitapangwa kucheza mechi mbili za mtoano (nyumbani na ugenini) na mshindi wa jumla kutinga makundi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’