Tarehe kama ya leo alizaliwa mkongwe Kelvin Yondani 'Cotton juice' aka 'Vidic'
Yondani ana miaka saba kwenye kikosi cha Yanga. Huyu ni Mwanayanga asiye na mashaka
Kwani pamoja na changamoto zote ambazo Yanga imepitia, yeye ameendelea kubaki
Kama sio mapenzi yake kwa Yanga, Yondani angeweza kushawishiwa akaondoka
Kuna wakati Kocha Mwinyi Zahera aliwahi kusema wachezaji wote Yanga wanaweza kugoma lakini sio Yondani!
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake
Happy BirthDay Yondani..!
ADVERTISE HERE