Kikosi cha Yanga kesho Jumatano kitashuka uwanja wa Uhuru kucheza dhidi ya Pan Africans ukiwa ni mchezo wa kirafiki
Muda wa mchezo huo ni saa kumi jioni ambapo viingilio VIP ni Tsh 5,000/- na kawaida ni Tsh 2,000/-
Huo utakuwa mchezo wa mwisho kwa Yanga kujipima kabla ya kuelekea mkoani Mwanza
Jana Yanga ilicheza na Friends Rangers na kuibuka na ushindi wa mabao 4-2
ADVERTISE HERE