Happy BirthDay Sibomana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Oct 2019
Happy BirthDay Sibomana

Mapema leo,  winga Patrick Sibomana 'PS' alikumbwa na wakati mgumu kwenye mazoezi ya Yanga yanayofanyika uwanja wa chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es salaam baada ya wachezaji wenzie kuadhimisha kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa kwa utaratibu wa aina yake

Imekuwa ni kawaida kwa wachezaji kutumia utaratibu huo pale mmoja wao anapoadhimisha kumbukumbu hiyo

Sibomana mmoja wa wachezaji tegemeo wa kikosi cha Yanga, alipata makaribisho kwa kuogeshwa tope!

Tunamtakia kila la kheri katika siku yake hii muhimu

Happy Birthday PS...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’