Baada ya kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Friends Rangers jana ambayo haikuwa na mashabiki, mchezo dhidi ya Pan Africans unapigwa uwanja wa Uhuru lakini pia utarushwa mbashara na Azam TV
Kwa kiingilio cha Tsh 5,000/- VIP na 2,000/- Kawaida, utaushuhudia mchezo huo uwanja wa Uhuru lakini pia kwa wale ambao watashindwa, wataweza kuushudia kupitia Azam TV
Mchezo huo ni sehemu ya maandalizi ya kikosi cha Yanga ambacho wiki ijayo kinakabiliwa na mchezo wa ligi kuu pamoja na kombe la Shirikisho jijini Mwanza
Azam wataurusha mchezo huo kupitia Azam Sport HD
ADVERTISE HERE