Nini kinasababisha majeruhi wengi Yanga?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Oct 2019
Nini kinasababisha majeruhi wengi Yanga?

Mara kwa mara Yanga imekuwa ikikabiliwa na majeruhi wengi kwenye kikosi chake

Kama ilivyokuwa msimu uliopita, hivi karibuni Yanga imekumbwa na wimbi kubwa la wachezaji majeruhi

Idadi ya nyota majeruhi walifikia 12, wamepata ahueni baada ya baadhi ya nyota hao kupona na kuanza kurejea kikosini

Lakini hoja hapa wengi wanajiuliza, kwa nini hali hii imekuwa ikijitokeza mara kwa mara?

Je ni kutokana na uwanja wanaofanyia mazoezi au tatizo ni mazoezi wanayopewa?

Maswali haya pia yanaonekana kuwafikirisha viongozi wa Yanga ambao inaelezwa wako mbioni kuongeza wataalam wa tiba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
15h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
22h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’