Kikosi cha Yanga kimeendelea kujifua jijini Mwanza yakiwa ni maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbao Fc ambao utapigwa kesho Jumanne kwenye uwanja wa CCM Kirumba
Mazoezi yanafanyika kwenye uwanja wa Nyamagana, jioni ya leo wakitarajiwa kujifua dimba la Kirumba



ADVERTISE HERE