Bigirimana aongezwa kikosini Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Oct 2019
Bigirimana aongezwa kikosini Yanga

Kiungo mshambuliaji Issa Bigirimana leo anatarajiwa kuungana na kikosi cha Yanga jijini Mwanza kinachoendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbao Fc ambao utapigwa kesho Jumanne kwenye uwanja wa CCM Kirumba na mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Pyramids FC ambao utapigwa Oktoba 27

Bigirimana na Mohammed Issa 'Banka' waliachwa jijini Dar es salaam wakiendelea na program maalum za mazoezi ili kupona majeraha yao

Hata hivyo inaelezwa hali ya Bigirimana imeimarika na madaktari wameshauri anaweza kujumuishwa kwenye kikosi cha kwanza

Bigirimana amekuwa akikabiliwa na majeraha ya mara kwa mara jambo lililomfanya ashindwe kucheza mchezo wowote wa kimashindano tangu alipojiunga na Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’