Matukio katika picha : Mbao 0-1 Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Oct 2019
Matukio katika picha : Mbao 0-1 Yanga

Yanga imefuta kabisa uteja wa kufungwa na Mbao Fc kwenye uwanja wa CCM Kirumba baada ya leo kupata ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa ligi kuu

Huo ni ushindi wa tatu mfululizo kwa Yanga inapata dhidi ya Mbao FC

Aidha kocha Mwinyi Zahera amemaliza rasmi ufalme wa Mbao Fc dhidi ya Yanga

Picha za matukio mbalimbali yaliyojiri katika mchezo huo;

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’