Baada ya ushindi wa bao 1-0 mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbao Fc jana, kikosi cha Yanga leo asubuhi kimeendelea na maandalizi ya mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Pyramids Fc
Mchezo huo utapigwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba Jumapili Oktoba 27 2019
Yanga inafanya mazoezi yake kwenye uwanja huo ambao utatumika Jumapili
ADVERTISE HERE