Yanga yajipima na Pamba Fc, yashinda 2-1

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Oct 2019
Yanga yajipima na Pamba Fc, yashinda 2-1

Yakiwa ni sehemu ya mazoezi ya kikosi cha Yanga kuelekea mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Pyramids Fc, leo nyota ambao hawakupata nafasi ya kucheza mechi ya jana dhidi ya Mbao, wakijumuishwa na wale waliokuwa benchi, walicheza mechi ya kujipima nguvu dhidi ya Pamba Fc

Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 2-1, Juma Balinya na Patrick Sibomana wakifunga mabao ya Yanga

Benchi la ufundi la Yanga chini ya kocha Mwinyi Zahera limeweka mkakati wa kuwapa wachezaji muda zaidi wa kucheza mechi kabla ya kuikabili Pyramids Fc Jumapili

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23m ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
4h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
11h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
20h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’