Zahera kutoa Milioni 100 Yanga ikitinga makundi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Oct 2019
Zahera kutoa Milioni 100 Yanga ikitinga makundi

Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa amewapa ahadi wachezaji wake kuwa kama watafanikiwa kuiondosha Pyramids Fc na kutinga hatua ya makundi kombe la Shirikisho, atatoa kitita cha Tsh Milioni 100

Akizungumza na wanahabari muda mfupi baada ya kumaliza mazoezi ya leo, Zahera alisema kuwa amefanya hivyo ili kutoa motisha kwa wachezaji wake na kuwapa nguvu ya kupamba ili waweze kuipata pesa hiyo

Amesema wamefanya maandalizi ya kutosha na vijana wako tayari kwa mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu jijini Mwanza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’