Poleni Wanayanga mliopata ajali Kibaha

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Oct 2019
Poleni Wanayanga mliopata ajali Kibaha

Jana usiku gari la Mashabiki wa Yanga Tawi la Manzese lilipata ajali maeneo ya Kongowe wakiwa safarini kuelekea mkoani Mwanza kuiunga mkono timu kwenye mchezo dhidi ya Pyramids Fc hapo kesho

Ni jambo la kushukuru mungu kuwa hakukuwa na vifo, ni majeruhi kadhaa huku wawili kati yao wakielezwa kuwa katika hali mbaya

Mashabiki ambao hawakupata madhara waliendelea na safari baada ya kupata gari jingine huku wale waliojeruhiwa wakirejea jijini Dar es salaam kwa ajili ya matibabu

Tunawapa pole ndugu zetu kwa mkasa huo

Tunamuomba Mwenye ez Mungu awaponye haraka majeruhi wote ili waweze kurejea katika majukumu yao ya kila siku

Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’