Zahera aahidi ushindi Mwanza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Oct 2019
Zahera aahidi ushindi Mwanza

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amesema wamejiandaa kikamilifu kuhakikisha wanapata matokeo ya ushindi kwenye mchezo wa kwanza wa kombe la Shirikisho kusaka nafasi ya kutinga makundi

Mchezo huo utapigwa kesho Jumapili kwenye uwanja wa CCM Kirumba

Akizungumza na waandishi wa habari leo katika mkutano uliohusisha makocha na manahodha wa timu zote, Zahera amesema watakuwa nyumbani hivyo wana kila sababu ya kupata ushindi

"Tumefanyia kazi mapungufu hasa kwenye safu ya ushambuliaji. Vijana wako tayari kwa ajili ya mapambano"

"Tumejiandaa vyema kuweza kutumia uwanja wa nyumbani kupata ushindi," amesema

Nae Mkufunzi wa Pyramids Fc Sebastien Desabre raia wa Ufaransa amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo dhidi ya Yanga Jumapili

Desabre amesema wapinzani wao ni timu bora hivyo anaamini utakuwa mchezo mzuri na wenye upinzani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’