Kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es salaam kuendelea na maandalizi ya mchezo wa marudiano dhidi ya Pyramids Fc ambao utapigwa Jumamosi, Novemba 03 nchini Misri
Yanga itakuwa na siku chache za kujiandaa hapa nchini kabla ya kusafiri kuelekea Misri
Pamoja na kupoteza mchezo wa kwanza kwa kufungwa mabao 2-1, Yanga bado ina nafasi ya kutinga makundi kama itashinda angalau kwa mabao mawili ugenini
ADVERTISE HERE