Poulsen afunguka tetesi za kutakiwa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Oct 2019
Poulsen afunguka tetesi za kutakiwa Yanga

Kocha wa zamani wa timu ya Taifa Kim Poulsen ambaye pia aliwahi kuwa Mkurugenzi wa ufundi timu za Taifa za vijana, amezungumzia tetesi za kuhusishwa na Yanga

Poulsen ambaye kwa sasa yuko Denmark amesema hana mkataba na timu yoyote zaidi ya kusimamia program mbalimbali za FIFA

Mdenish huyo ameeleza kuwa tayari kujiunga na Yanga kama atapewa nafasi hiyo

"Niko Denmark naendelea na project mbalimbali za FIFA. Sina mkataba na timu yoyote ile kwa sasa. Nimepokea simu nyingi kutoka Tanzania leo. Yanga ni timu kubwa sana Tanzania na nafikiri itanipa pia fursa ya kusaidia maendeleo ya soka la Afrika kama nitakwenda kufanya nao kazi," amesema

Ukizungumzia watu waliochangia maendeleo na mafanikio ya soka la vijana nchini, huwezi kukosa kutaja jina la Poulsen ambaye aliendesha program mbalimbali kukuza soka la vijana nchini

Je Poulsen aliyejikita zaidi katika kusimamia soka la vijana ataweza kuwa mbadala sahihi wa Zahera kama Yanga itaamua kuvunja mkataba wake?

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’