Chirwa, Tambwe warejea kikosini Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Oct 2017
Chirwa, Tambwe warejea kikosini Yanga
Washambuliaji Obrey Chirwa na Amissi Tambwe wamerejea kwenye kikosi cha Yanga ambapo leo wamefanya mazoezi na wachezaji wengine katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.

Tambwe aliyekuwa majeruhi kwa zaidi ya miezi miwili imearifiwa kuwa yuko fiti na huenda akachukua nafasi ya Donald Ngoma katika mchezo dhidi ya Kagera Sugar Jumamosi ijayo.

Ngoma bado anaendelea na matibabu baada ya kupata matatizo ya misuli katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar

Obrey Chirwa naye alipata majeraha madogo katika mchezo huo ambayo yamepona baada ya kupewa mapumziko ya siku kadhaa.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’