Kiungo Issa Bigirimana 'Walcott' leo ni kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa
Bigirimana amejumuishwa kwenye kikosi cha Yanga ambacho kimesafiri Misri kuwakabili Pyramids Fc mchezo wa marudiano kombe la Shirikisho ambao utapigwa keshokutwa Jumapili
Aidha, Bigirimana bado hajaonyesha makali yake Yanga kwani amekuwa akikabiliwa na majeraha ya mara kwa mara
Mwamba huyo aliyesajiliwa kutoka APR, wakati anatua Yanga alitabiriwa kuwa atafanya mambo makubwa
Kujumuishwa kwenye kikosi kilichokwenda Misri ni dalili njema kwake, huenda akapewa nafasi na kocha Mwinyi Zahera keshokutwa
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu ya kumbukumbu kwake
HAPPY BIRTHDAY BIGIRIMANA...!
ADVERTISE HERE