Timu zilizofuzu makundi kombe la Shirikisho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Nov 2019
Timu zilizofuzu makundi kombe la Shirikisho

Yanga, Proline, KCCA na Gor Mahia timu kutoka ukanda wa Afrika Mashariki zimekamilisha ushiriki wa ukanda huo kwenye michuano ya CAF baada ya zote kutolewa hapo jana

Timu 14 zilijihakikishia kutinga makundi baada ya kupata ushindi wa jumla mechi za jana

Mechi nyingine zinatarajiwa kukamilishwa leo

Timu zilizofuzu;

1)Horoya Ac-Guinea

2)Nouadhibou-Mauritania

3)Al Nasr C Benghazi-Libya

4)Enyimba International-Nigeria

5)Zanaco- Zambia

6)DC Motema Pembe -DRC

7)Enugu rangers -Nigeria

8)Bidvest wits-South Africa

9)Djoliba Ac- Mali

10)Al Masry-Egypt

11)FC San Pedro -Ivory Coast

12)Rs Berkane-Morroco

13)Pyramid-Egypt

14)Paradou- Algeria

Aidha baada ya Yanga kutolewa jana, hatma ya timu nne kwa Tanzania kwenye michuano ya CAF msimu ujao, itategemea na matokeo watakayopata San Pedro ya Ivory Coast kwenye hatua ya makundi

Ivory Coast huenda wataipoka Tanzania nafasi ya timu nne kwenye ushiriki wa michuano ya CAF msimu ujao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’