Yanga yarejea Dar, nguvu zote kwenye ligi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Nov 2019
Yanga yarejea Dar, nguvu zote kwenye ligi

Kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es salaam kutoka Misri kukamilisha majukumu ya michuano ya Kimataifa jana ikipoteza mchezo wa pili dhidi ya Pyramids Fc kwa kufungwa mabao 3-0

Hicho kilikuwa kipigo kingine kutoka kwa wababe hao wapya wa soka la Misri ambao walishinda mabao 2-1 katika mchezo wa kwanza

Yanga sasa inarejea rasmi kwenye mikikimikiki ya ligi kuu ikikabiliwa na michezo sita ya viporo

Ijumaa, Novemba 08 itakuwa mkoani Mtwara kuikabili Ndanda Fc

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’