Wakati uongozi wa Yanga ukichukua maamuzi magumu ya kuvunja benchi la Ufundi, kule Kurasini wachezaji waliendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ndanda Fc
Mchezo utapigwa uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara siku ya Ijumaa, Novemba 08 2019
Lakini pia leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa mmoja wa Wanahabari wa klabu ya Yanga Godlisten Anderson 'Chicharito' ambapo wachezaji walijumuika kufurahi nae
Happy BirthDay Chicharito...!
ADVERTISE HERE