Yanga yaifuata Ndanda Fc Mtwara

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Nov 2019
Yanga yaifuata Ndanda Fc Mtwara

Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam asubuhi ya leo Jumatano Novemba 06 kuelekea mkoani Mtwara kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ndanda Fc

Mchezo huo utapigwa keshokutwa Ijumaa kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona

Msafara wa kikosi cha Yanga umejumuisha wachezaji 20, viongozi saba pamoja na benchi la muda la ufundi linaloongozwa na kocha Charles Boniface Mkwasa 'Master'

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1m ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’