Mkwasa 'alivyoteta' na wachezaji kabla ya kuanza mazoezi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Nov 2019
Mkwasa 'alivyoteta' na wachezaji kabla ya kuanza mazoezi

Kikosi cha Yanga leo kinajifua uwanja wa Nangwanda Sijaona kabla ya kuikabili Ndanda Fc kwenye uwanja huo hapo kesho

Kabla ya kuanza mazoezi mapema leo, kocha Charles Mkwasa alifanya kikao na wachezaji wake

Ni katika jitihada za kuiweka timu sawa hasa baada ya tukio la kuvunjwa kwa benchi la ufundi ambalo baadhi ya wachezaji hawakuwa na taarifa nalo

Mkwasa anafahamu umuhimu wa timu kupata ushindi katika mchezo wa kesho

Presha kubwa ya mashabiki kwa uongozi baada ya kutoridhishwa na mwenendo wa timu chini ya Zahera ilipelekea mabadiliko ya benchi la ufundi

Jambo hilo linaweza kutokea tena kama timu itashindwa kufanya vizuri hata baada ya mabadiliko hayo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
8h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’