Mwakalebela afunga mjadala wa Zahera

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Nov 2019
Mwakalebela afunga mjadala wa Zahera

Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amewataka wapenzi, wanachama na mashabiki wa timu hiyo kuungana ili kuhakikisha timu inafanya vyema na wasikubali kuyumbishwa na yanaoendelea kwenye vyombo vya habari kuhusu kocha Mwinyi Zahera

Zahera ambaye hivi karibuni mkataba wake ulisitishwa na uongozi wa Yanga, umekuwa akifanya mahojiano na vyombo mbalimbali vya habari akitoa tuhuma nzito kwa uongozi wa Yanga

Mwakalebela amesema Wanayanga hawapaswi kukubali kuyumbishwa, maamuzi yameshafanyika na kinachotakiwa waangalie mbele

Aidha amesisitiza kuwa Yanga haina muda wa kujibu tuhuma zake

"Hatuna sababu ya kujiingiza kwenye mijadala ambayo ina lengo la kutugawa. Kwa sasa akili yetu ipo kwenye mechi dhidi ya Ndanda na hatuna muda wa kumjadili mtu ambaye hayupo kikosini.

"Zahera hawezi kututoa kwenye reli, tunapambana kusaka ushindi kwenye mechi yetu Mtwara. Alikuwapo kikosini, kama kulikuwa na matatizo kwanini hakuzungumza hadi asubiri alipotimuliwa? Hatupo tayari kumjibu ili asitupotezee dira na mipango yetu," amesema

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’