Yanga yapokelewa kwa shangwe Nanyumbu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Nov 2019
Yanga yapokelewa kwa shangwe Nanyumbu

Kikosi cha Yanga bado kiko mkoani Mtwara, kikifanya ziara kuwasalimia wanachama na mashabiki wake

Baada ya mchezo dhidi ya Ndanda Fc, ligi imesimama kupisha michezo ya Kimataifa ambapo itaendelea tena Novemba 20 kwa Yanga kuikabili KMC katika mchezo ambao utapigwa uwanja wa Uhuru

Wakati kocha Charles Mkwasa akiwa ametoa mapumziko ya siku tano kwa wachezaji wake, uongozi wa timu hiyo umeamua kufanya ziara ya siku mbili huko Mtwara

Jana jioni Yanga ilitua Wilayani Nanyumbu na kupokelewa kwa shangwe na mashabiki wake

Leo inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Nanyumbu Combine

Yanga ni timu ya Wananchi, ziara hii inathibitisha kauli hiyo kwani wananchi wa Nanyumbu wamefurajia ujio wa Yanga wilayani kwao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’