Yanga imepata ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Nanyumbu Combine ukiwa ni mchezo wa kirafiki uliofanyika wilayani Nayumbu
Magoli ya Yanga yamefungwa na Adam Stanley aliyefunga matatu (hat-trick), Wilson na bao jingine limefungwa kwa penati na Mwarami Issa.


Mchezo umepigwa uwanja wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu, mkoani Mtwara
Kesho Yanga itakuwa Wilayani Masasi kucheza mechi nyingine ya kirafiki kisha itaelekea Wilayani Tandahimba kumaliza ziara yake kwa kucheza mchezo mwingine wa kirafiki keshokutwa
ADVERTISE HERE