Yanga yapoteza mechi ya kirafiki Masasi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Nov 2019
Yanga yapoteza mechi ya kirafiki Masasi

Baada ya kucheza Nanyumbu hapo jana, kikosi cha Yanga leo kilikuwa Wilayani Masasi ambapo kilicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Mkuti

Yanga imechapwa bao 1-0 katika mchezo ambao ulishuhudiwa na wakazi wengi wa Masasi na maeneo ya jirani

Ilikuwa ni siku ya furaha kwa wakazi wa Masasi ambao wamepata fursa 'adim' ya kuonana ana kwa ana na baadhi ya nyota wa Yanga

Yanga itakamilisha ziara yake Wilayani Tandahimba kesho

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’