Ligi kusimama Disemba kupisha michuano ya Chalenji

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Nov 2019
Ligi kusimama Disemba kupisha michuano ya Chalenji

Ligi Kuu ya Vodacom itasimama kwa takribani wiki tatu mwezi Disemba kupisha michuano ya CECAFA Chalenji itakayofanyika nchini Uganda kuanzia Disemba mosi mpaka Disemba 19

Yanga itashuka dimbani mara moja kabla ya ligi hiyo kusimama tena

Mchezo dhidi ya KMC ambao ulikuwa upigwe uwanja wa Uhuru Novemba 20 huenda usiwepo kwani timu ya Taifa itacheza Libya Novemba 19

Novemba 23 Yanga itaikabili JKT Tanzania katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Uhuru

Aidha, kulingana na ratiba ya Bodi ya Ligi, mchezo utakaofuata utakuwa January 04 dhidi ya Simba

Lakini upo uwezekano baada ya michuano ya Chalenji kumalizika, Yanga itacheza baadhi ya mechi zake za viporo kabla ya kuivaa Simba

Yanga imeshuka dimbani mara tano, ambapo ni nusu ya mechi ambazo timu nyingine zimecheza mpaka sasa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’