Mkwasa apeleka mazoezi uwanja wa Uhuru

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Nov 2019
Mkwasa apeleka mazoezi uwanja wa Uhuru

Kaimu kocha Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amehamisha mazoezi ya vijana wake uwanja wa Uhuru wakati huu ambao ligi imesimama kupisha michuano ya Kimataifa

Tangu msimu uliopita, Yanga inajifua kwenye wa Chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es salaam

Keshokutwa Jumapili mabingwa hao wa kihistoria wanatarajiwa kucheza na Coastal Union katika mchezo wa kirafiki utakaopigwa dimba hilo la Uhuru

Mkwasa ameonekana kuwapa wachezaji wake muda mwingi wa kuchezea mpira

Ni dhahiri kocha huyo wa zamani wa Taifa Stars anajaribu kutengeneza timu mpya itakayokuwa bora katika umiliki wa mpira

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
51m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’