Baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Coastal Union kwenye mchezo wa kirafiki jana, wachezaji wa Yanga leo wamepewa mapumziko
Mabingwa hao wa kihistoria wataendelea na mazoezi kesho jioni kwenye uwanja Chuo cha Polisi, Kurasini jijini Dar es salaam
Mchezo unaofuata ni wa ligi dhidi ya JKT Tanzania ambao utapigwa Jumamosi, Novemba 23 uwanja wa Uhuru
ADVERTISE HERE