Yanga yajifua Kurasini kuiwinda JKT Tanzania

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Nov 2019
Yanga yajifua Kurasini kuiwinda JKT Tanzania

Kikosi cha Yanga leo kimeendelea na mazoezi uwanja wa Chuo cha Polisi, Kurasini jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania

Mchezo huo utapigwa siku ya Ijumaa, Novemba 22 katika uwanja wa Uhuru

Wakiwa chini ya Mkwasa, mabingwa hao wa kihistoria wamekuwa na matokeo mazuri katika michezo miwili ya kiushindani waliyocheza mpaka sasa

Ushindi dhidi ya JKT Tanzania utaendelea kuwapandisha juu kwenye msimamo wa ligi sasa wakishika nafasi ya 15 wakiwa na alama 10 walizozikusanya kutoka michezo mitano waliyocheza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’