Yondani, Makame, Metacha hatihati kuwakosa JKT Tanzania

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Nov 2019
Yondani, Makame, Metacha hatihati kuwakosa JKT Tanzania

Wakati kikosi cha Yanga kikitarajiwa kushuka dimba la Uhuru kesho Ijumaa kuikabili JKT Tanzania kwenye mchezo wa ligi kuu, mabingwa hao wa kihistoria huenda wakawakosa nyota wao watatu Kelvin Yondani, Metacha Mnata na Abdulaziz Makame ambao walikuwa timu ya Taifa

Stars imewasili usiku wa kuamkia leo kutoka Tunisia ambako ilicheza mechi ya kusaka tiketi ya michuano ya Afcon 2021 na kufungwa mabao 2-1 na Libya

Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa huenda akachukua tahadhari ya kutowatumia wachezaji hao kwani hawatakuwa wamepata muda wa kutosha kupumzika baada ya safari ndefu

Nyota mwingine wa Yanga aliyekuwa na majukumu ya timu ya Taifa ni Patrick Sibomana 'PS' ambaye alikuwa na timu ya Taifa ya Rwanda iliyocheza dhidi ya Cameroon Novemba 17 na kufungwa bao 1-0

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’