Cannavaro aahidi ushindi leo

Mwana Jangwani By Mwana Jangwani
β€’
14 Oct 2017
Cannavaro aahidi ushindi leo
Nahodha wa Yanga Nadir Haroub 'Cannavaro' amesema licha ya kuwa ugenini leo ana uhakika Yanga itaibuka na ushindi dhidi ya Kagera Sugar.

Akizungumza mapema leo, zikiwa zimebaki saa chache kuelekea mchezo huo, Nadir amesema Kagera Sugar ni timu nzuri licha ya kuanza kwa kusuasua msimu huu.

Lakini amesisitiza ushindi ni muhimu zaidi kwa Yanga ili kuweka hai malengo ya kutetea taji la VPL kwa msimu wa nne mfululizo.

Katika mchezo huo Yanga itawakosa Donald Ngoma, Thabani Kamusoko (hakusafiri), Ramadhani Kabwili na Saidi Mussa.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’