Milioni 10 iko mezani kama kawaida

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Nov 2019
Milioni 10 iko mezani kama kawaida

Leo Yanga itashuka uwanja wa Uhuru kuikabili JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Ushindi katika mchezo huo utawahakikishia wachezaji wa Yanga kitita cha Tsh Milioni 10 kama ilivyokuwa kwenye michezo mitatu iliyopita

Msemaji na Afisa Uhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz jana aliwaambia waandishi wa habari kuwa Milioni 10 itatolewa katika kila mchezo wa ligi ambao Yanga itashinda

Aidha alisema fedha hiyo inaweza kuongezeka kulingana na mahitaji ya mchezo husika

Wachezaji wa Yanga wameshavuna jumla ya Tsh Milioni 30 baada ya kushinda michezo dhidi ya Coastal Union, Mbao Fc na Ndanda Fc

Tangu GSM ianze kuahidi kitita hicho, Yanga imeshinda kila mchezo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’