Mchango wa Molinga Yanga ni zaidi ya magoli

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Nov 2019
Mchango wa Molinga Yanga ni zaidi ya magoli

Pamoja na kukosolewa sana na mashabiki kutokana na kukosa mwendelezo mzuri wa kuzifumania nyavu, mshambuliaji David Molinga uwepo wake uwanjani huisadia Yanga

Katika mchezo dhidi ya JKT Tanzania ambao Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 3-2, Molinga alikuwa akiwapa wakati mgumu walinzi wa JKT Tanzania ambao wakati mwingine walilazimika kumkaba wawili

Hali hiyo iliwapa fursa Yanga kutawala mchezo na kutengeneza nafasi nyingi kwenye kipindi cha kwanza kwani Molinga aliwafanya walinzi wa timu hiyo wapande kwa tahadhari kubwa wakati timu yao inashambulia

Lakini baada ya Mcongomani huyo kutolewa na Mkwasa kubadili mfumo, aliwapa nafasi walinzi wa JKT Tanzania kuwa huru na athari hiyo ilionekana kwani walikuwa na uwezo wa kupanda kuongeza mashambulizi

Wachezaji aina ya Molinga wakati mwingine unaweza usione mchango wao lakini wanakuwa na msaada mkubwa katika kuwadhibiti walinzi wa timu pinzani

Lakini pia Molinga ndiye kinara wa mabao kwenye kikosi cha Yanga leo akitimiza mabao matatu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’