Molinga ameanza kuwasha moto

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Nov 2019
Molinga ameanza kuwasha moto

Kiwango kinachoonyeshwa na mshambuliaji David Molinga ni ishara kuwa mkali huyo wa kuzifumania nyavu ameanza kuzoea soka la Tanzania

Bao lake alilofunga leo kwenye mchezo dhidi ya Alliance Fc ni la nne msimu huu

Molinga ni mshambuliaji mzuri, changamoto alizokuwa akizipita mwanzo pengine zilitokana na ugeni

Kocha wa zamani wa Yanga Mwinyi Zahera aliwahi kusema Molinga ni mshambuliaji mkali kuliko hata Makambo ambaye alimaliza msimu uliopita akiwa na mabao 18

Makali ya Molinga yameanza kudhihiri, ni suala la muda tu nae atajijengea ufalme Jangwani

Kwa sasa Molinga anastahili kuwa mshambuliaji tegemeo Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
5h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
11h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’