Baada ya ushindi Mwanza, Yanga yakwea pipa kurudi Dar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Nov 2019
Baada ya ushindi Mwanza, Yanga yakwea pipa kurudi Dar

Baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Alliance Fc, kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Mwanza usiku huu wa Ijumaa Novemba 29 kurejea jijini Dar es salaam kuendelea na maandalizi ya mchezo unaofuata

Siku ya Jumatatu, Disemba 02 Yanga itashuka uwanja wa Uhuru kuikabili KMC ukiwa ni mchezo mwingine wa kiporo

Ushindi katika mchezo huo utaipaisha Yanga juu zaidi kwenye msimamo wa ligi

Baada ya ushindi wa leo Yanga imefikisha alama 16 ikiwa imeshuka dimbani mara saba, inashika nafasi ya 12

Lakini kama itapata ushindi dhidi ya KMC huenda ikapanda mpaka nafasi ya tano

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
5h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’