GSM yakabidhi Milioni 10 za ushindi wa Alliance FC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Nov 2019
GSM yakabidhi Milioni 10 za ushindi wa Alliance FC

Kikosi cha Yanga leo kimefanikiwa kunyakua Tsh Milioni 10 fedha za motisha zilizotolewa na Wadhamini kampuni ya GSM baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Alliance Fc

Huo ni ushindi wa tano mfululizo Yanga inashinda na kujipatia kitita hicho cha fedha

Motisha ya leo imekabidhiwa na Mahsein kutoka GSM Mwanza Branch na kupokelewa na nahodha Msaidizi Juma Abdul

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’