Kikosi cha Yanga kimewasili mkoani Tabora ambako kitaweka kambi ya siku kadhaa kujiandaa na mchezo wa mzunguuko wa saba dhidi ya Stand United.
Ikiwa Tabora Yanga itacheza mchezo wa kirafiki na timu ya daraja la kwanza, Rhino Rangers Jumatano, Oktoba 18.
Yanga imefikia Hoteli ya Grand Penta, Tabora Mjini.
Jana Jumamosi Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kagers Sugar.

ADVERTISE HERE