Metacha, Yondani, Abdul wajumuishwa nyota 22 kikosi cha Kili Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Dec 2019
Metacha, Yondani, Abdul wajumuishwa nyota 22 kikosi cha Kili Stars

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' Juma Mgunda amefanya mchujo kupata wachezaji 22 ambao watasafiri leo kuelekea nchini Uganda kushiriki michuano ya CECAFA Challenge Cup inayoanza keshokutwa Jumamosi jiji la Kampala

Nyota wa Yanga Metacha Mnata, Juma Abdul na Kelvin Yondani wamejumuishwa katika kikosi hicho ambacho kitacheza mchezo wake wa kwanza Jumapili dhidi ya Kenya

Hiki hapa kikosi kamili;

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
9h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
12h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
17h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
21h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’