Yanga yaongeza mapumziko kwa wachezaji

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Dec 2019
Yanga yaongeza mapumziko kwa wachezaji

Uongozi wa klabu ya Yanga umewapa wachezaji mapumziko ya siku tatu kabla ya kurejea kuendelea na maandalizi ya michezo ya ligi pamoja na kombe la FA

Wachezaji hao sasa watakuwa wamepewa siku tano za mapumziko baada ya awali kupewa siku mbili

Aidha taarifa iliyotolewa na uongozi wa Yanga imebainisha kuwa baadhi ya wachezaji wa kigeni wamepewa ruhusa maalum kwenda kusalimia familia zao

Timu itarejea mazoezini siku ya Jumatatu, Disemba 09 2019

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’