Kili Stars, Zanzibar Heroes kuanza Chalenji leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Dec 2019
Kili Stars, Zanzibar Heroes kuanza Chalenji leo

Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Chalenji, Zanzibar Heroes na Kilimanjaro Stars leo zinashuka viwanjani nchini Uganda ikiwa ni michezo ya kundi B

Zanzibar Heroes itashuka uwanjani mapema saa saba mchana kuibali Sudan huku ndugu zao Kilimanjaro Stars wakitarajiwa kushuka dimbani saa kumi jioni kuikabili Kenya

Michuano hiyo ilianza jana kwa wenyeji Uganda kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Burundi huku Djibout na Somalia zikitoshana nguvu kwa kutoka suluhu ya bila kufungana ikiwa ni michezo ya kundi A

Timu mbili zitakazoshika nafasi za juu kwenye kila kundi zitasonga mbele hatua ya nusu fainali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’