Uwanja wa Kigamboni kuwa kipaumbele

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Dec 2019
Uwanja wa Kigamboni kuwa kipaumbele

Miongoni mwa mambo aliyoyazungumza Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla jana kwenye Mkutano na Wanahabari ni ujenzi wa uwanja wa mazoezi katika eneo la Yanga huko Kigamboni

Dk Msolla alisema Kamati ya Maafa iliwaomba kusimamisha ujenzi kwenye Uwanja wa Kaunda.

"Tumehamia rasmi Kigamboni na tayari kamati ya Mashindano imeanza kufanya ujenzi kule kwahiyo uwanja wetu utakuwa upo Kigamboni," alisema

Dk Msolla alisema kitendo cha Simba kukamilisha ujenzi wa viwanja vyao huko Bunju, kimewapa changamoto nao watakamilisha zoezi la ujenzi wa uwanja mapema zaidi

"Maendeleo ya Simba na Yanga ndio maendeleo ya mpira wa Tanzania, kwahiyo tunawapongeza na sisi ndio tunataka kukamilisha uwanja wetu"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’