Yanga kushuka dimbani Kigoma leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Dec 2019
Yanga kushuka dimbani Kigoma leo

Baada ya kuwasili mkoani Kigoma jana, leo kikosi cha Yanga kitashuka uwanja wa Lake Tanganyika kuikabili Mwamgongo Fc ukiwa ni mchezo wa kirafiki

Ziara hiyo maalum mkoani Kigoma ni sehemu maandalizi ya kikosi cha mabingwa hao wa kihistoria ambao Disemba 21 wanakabiliwa na mchezo wa kombe la FA dhidi ya Iringa United kisha kuelekea mkoani Mbeya kuifuata Mbeya City kwa ajili ya mchezo wa ligi Disemba 24

Keshokutwa Jumapili Disemba 15, Yanga itakamilisha ziara yake mkoani Kigoma kwa kucheza na Mbao Fc

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
9h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’