Yanga kuanza utaratibu wa kutoa zawadi binafsi kwa wachezaji

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Dec 2019
Yanga kuanza utaratibu wa kutoa zawadi binafsi kwa wachezaji

Pamoja na kuwa na utaratibu wa kutoa motisha kwa wachezaji timu inapopata ushindi, klabu ya Yanga imetangaza kuanzisha utaratibu wa kuwatuza wachezaji watakaofanikisha timu kufunga mabao

Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nigaz amesema kuanzia sasa mchezaji atakaefunga goli atapata Shilingi laki tatu, atakae toa pasi ya Mwisho (Assist) atapata shilingi laki mbili na nusu, na atakae toa pasi kabla ya pasi ya Mwisho atapata Shilingi laki moja na nusu

Nugaz amesema uongozi wa Yanga unaamini utaratibu huu utaongeza ufanisi wa wachezaji na kuisaidia timu kufunga mabao mengi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
4h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’