Lamine January 04 kama kawaida

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Dec 2019
Lamine January 04 kama kawaida

Yanga imefanikiwa kumrejesha nchini beki wake kisiki Lamine Moro kuelekea mchezo wa watani wa jadi dhidi ya Simba ambao utapigwa January 04 2020 kwenye uwanja wa Taifa

Beki huyo raia wa Ghana aliondoka wiki iliyopita muda mfupi baada ya kuandika barua ya kuvunja mkataba wake kufuatia kukosa mishahara kwa miezi miwili

Inaelezwa mabosi wa GSM waliingia kati sakati lake ambapo walimleta nchini Meneja wake kwa ajili ya mazungumzo ambayo mwafaka umefikiwa kwa pande zote mbili

Kulikuwa na taarifa kuwa klabu ya Simba ilikuwa ikimnyemelea beki huyo ambaye walishindwa kumsajili mapema mwaka huu licha ya kumfanyia majaribio

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’