Uongozi wa klabu ya Yanga kwa kushirikiana na mdhamini wao kampuni ya GSM, wamekuja na utaratibu wa kuwatambulisha 'mbashara' nyota wao wapya
Baada ya juzi kumtambulisha Lamine Moro ambaye kimsingi alirejeshwa kundini baada ya kumalizwa changamoto za madai ya mishahara, zoezi hilo linaendelea leo kwa nyota mwingine
Ni saa tano asubuhi

ADVERTISE HERE