Niyonzima anarejea nyumbani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Dec 2019
Niyonzima anarejea nyumbani

Haruna Niyonzima anarejea Yanga baada ya misimu miwili na nusu kupita

Pamoja na kuwa uamuzi wake wa kujiunga na watani Simba uliwachukiza mashabiki, lakini hakuna shaka watampokea tena kwa mikono miwili

Alipata heshima kubwa sana hapa nchini wakati akiitumikia klabu ya Yanga

Misimu miwili aliyoitumikia Simba itasahauliwa mara moja pale atakapotambulishwa rasmi kuwa ni mchezaji wa Yanga

Misimu mitano aliyocheza Yanga ilikuwa ya kipekee, anarejea kufungua ukurasa mwingine wa maisha yake Jangwani

Wanajangwani wanamsubiri kwa hamu, kwani wanaamini ujio wake utaongeza ubora wa safu ya kiungo ya mabingwa hao wa kihistoria

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’