Timu ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' imekamilisha ushiriki wake wa michuano ya Chalenji nchini Uganda kwa kukubali kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Kenya katika mchezo wa kusaka mshindi wa tatu
Hicho ni kipigo cha pili Kili Stars inapokea kutoka kwa Kenya kwenye michuano hiyo
Mara ya kwanza zilikutana hatua ya makundi na Stars kuchapwa bao 1-0
Kili Stars imeiaga michuano hiyo huku ikiambulia nafasi ya nne
ADVERTISE HERE